Exodus 25:13-15

13 aKisha utatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuzifunika kwa dhahabu. 14 bUtaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba. 15 cHiyo mipiko itabakia daima katika hizo pete za hilo Sanduku; haitaondolewa.
Copyright information for SwhKC